Elimu ya afya na mahusiano kiganjani mwako. Tumekusogezea jukwaa hili ili kukupa elimu ya msingi ya afya na mahusiano yako. Wakati mwingine tunakuwa tunakutana na changamoto mbalimbali za kiafya na mahusiano ila tunakosa mtu wa karibu wa kumwelezea changamoto hizi na kupata ufafanuzi wa karibu zaidi.

Kutokana na hili tumeamua kutumia nafasi hiyo kuwafumbua macho juu ya changamoto mbalimbali za mahusiano na afya na namna rahisi za kukabiliana nazo. Katika makala nyingi tumejitahidi kukuandalia njia rahisi zaidi za kukabiliana na changamoto hizi bila kutumia gharama kubwa sana, au kwa kifupi kwa kutumia njia ambazo ni rafiki na haziachi madhara makubwa mwilini.

Ungana na wataalamu wa afya wanaokuletea elimu hii kila siku kiganjani mwako wakiongozwa na David BSP, mtaalamu na mshauri wa afya na mahusiano.

Kama ulikuwa ukitafuta sehemu sahihi ya kujifunza masuala ya afya na mahusiano basi upo sehemu sahihi na tunafurahi kuwa karibu na wewe.

Get this free app on play store

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *